KARIBU KATIKA TOVUTI YETU

Tunatoa huduma Za kisasa za kufunga security camera katika majumba maofisi.

Pia tunaunganisha camera na mfumo wa simu aina ya smart phone ambapo mteja wetu anaweza akaona moja kwa moja kinachotendeka ofisini,

nyumbani au katika gari yake.

Pia tunatoa ushauri na msaada wa kitaalamu katika maswala ya mifumo ya computer na utumiaji wake katika maswala mbalimbali.